Tume ya NLC yasikiliza malalamishi ya wakaazi wa Diani kuhusu unyakuzi wa ardhi

  • | Citizen TV
    98 views

    Tume Ya Kitaifa Ya Ardhi Nchini (Nlc) Imesikiliza Malalamishi Ya Wakazi Wa Tiwi Na Diani Kaunti Ya Kwale Wanaotaka Kufutiliwa Mbali Kwa Zaidi Ya Hati Miliki 1200 Za Ardhi Ya Diani Complex. Tume Hiyo Imesema Itahitaji Siku 21 Kupata Stakabadhi Zingine Za Ushaidi Zaidi Wa Malalamishi Hayo Kabla Ya Kutoa Uamuzi.