Madereva wa masafa marefu walilia usalama wao barabarani

  • | Citizen TV
    723 views

    Wanachama Wa Muungano Wa Madereva Wa Masafa Marefu Kaunti Ya Mombasa Wamelalamikia Usalama Barabani, Msongamano Wa Magari Pamoja Na Kukandamizwa Katika Sekta Ya Uchukuzi.