Wakaazi wa Mukuru kwa Reuben walalamikia mazingira duni

  • | Citizen TV
    305 views

    Wakazi Wa Mukuru Kwa Reuben Hapa Jijini Nairobi Wanalalamikia Miundomsingi Duni Na Ukosefu Wa Huduma Muhimu Miongoni Mwa Miradi Mingine Ya Maendeleo Eneo Hilo.