Mtoto apiga simu polisi baada ya mama yake kula Ice cream yake

  • | BBC Swahili
    1,037 views
    Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne alipigia simu namba 911 kuripoti kitendo cha mama yake kula icecream hiyo na baada ya muda maafisa wa polisi walifika hadi nyumbani kwao. - Mama yake alishangazwa na kitendo hiko lakini walitumia fursa hiyo kumfundisha mtoto huyo kwamba 911 inapaswa kutumiwa kwa dharura za kweli na sio Ice cream" iliyopotea. - Siku iliyofuata, walirudi, safari hii wakiwa na ice cream kwa ajili yake. - Je angekuwa mtoto wako ungemfanya nini? - - - #bbcswahili #marekani #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw