Rais azuru mitaa ya Lang’ata na Kibra

  • | KBC Video
    2,593 views

    Rais William Ruto amesema yuko tayari kufanya kazi na viongozi kutoka mirengo yote ya kisiasa ili kusitisha uhasama na migawanyiko ya kisiasa humu nchini. Kiongozi wa taifa pia aliwasihi viongozi kuiga mfano wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ambaye ameweka kando maslahi yake kwa ajili ya manufaa ya taifa hili. Giverson Maina anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive