Hakimu wa Thika Stella Atambo apinga madai ya EACC

  • | Citizen TV
    626 views

    Hakimu Mkuu wa mahakama ya Thika Stella Atambo amekanusha madai ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi kuwa anahusika na ufisadi na kuitaka EACC Irudishe Pesa Zilizopatikana Nyumbani mwake.