Wakazi wa Nyamira walalamikia huduma za SHA

  • | Citizen TV
    137 views

    Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Nyamira wamekosoa vikali miradi ya serikali kuu, wakidai ni mipango ya ulaghai na haiwafaidi wananchi wa kawaida.