Waliozuiliwa kwenye seli feki Kakamega walia

  • | Citizen TV
    329 views

    Wakazi wa mtaa wa Makaburini kaunti ya Kakamega wameelezea masaibu waliopitia kwa wiki mbili , baada ya watu wasiojulikana kujifanya polisi na kuwakamata kiholela. Kulingana na wakazi hao, iliwalazimu kutoa cha shilingi mia tatu na kuchapwa viboko kabla ya kuachiliwa bila ya kuelezwa makosa yao.