Viongozi wa Maa wataka chama cha kisiasa

  • | Citizen TV
    326 views

    Huku jamii mbalimbali Zikizidi kujipanga kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027, shinikizo zinazidi kutolewa kwa jamii ya maa kuunda Chama chao cha Kisiasa ili wawe kwenye meza ya majadiliano ya kisiasa.Viongozi wa Kajiado wanasema wakati umefika sasa kwa jamii hiyo kuwa na gari lao la kisiasa ili wawe na nguvu ya kuamua mustakabali wa kisiasa wakimtaka Gavana Joseph Ole Lenku kuongoza hatua hiyo.