Babu Kaji: ‘Mimi ni muda mrefu naambiwa bora '

  • | BBC Swahili
    3,679 views
    Nanga maarufu kama Babu Kaji hivi karibu aliibuka mshindi wa tuzo ya mchekeshaji bora wa kiume nchini Tanzania. Je anazungumziaje ushindi huo?Omary Mkambara @loko_omi amezungumza naye masuala mbalimbali katika ytasnia ya vichekesho #bbcswahili #burudani #vichekesho Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw