Watoto watatu wafariki baada ya kuzama kwenye chemichemi ya maji kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    983 views

    Watoto Watatu Wa Kiume Wamefariki Baada Ya Kuzama Kwenye Chemichemi Ya Maji Walipokuwa Wakivua Samaki Kaunti Ya Nakuru. Familia Za Watoto Hao Ambao Wawili Ni Wanafunzi Wa Darasa La Nane Na Mmoja Wa Darasa La Tano Tayari Zimeanza Mipango Ya Mazishi. Evans Asiba Alitembelea Familia Hizo Na Kutuandalia Taarifa Ifuatayo.