Majaji wasema EACC inahujumu uhuru wa mahakama

  • | Citizen TV
    263 views

    Hayo yakiarifiwa, muungano wa majaji na mahakimu (KMJA) umeikashifu tume ya kupambana na ufisadi EACC kwa kile ilichotaja kama hulka ya kuwadhalilisha majaji, mahakimu na wafanyikazi wa mahakama.