Mchezo wa "spinning" wajipatia umaarufu Kusini mwa Afrika

  • | BBC Swahili
    201 views
    Mchezo huu uhusisha uendeshaji wa magari kwa kasi kwa kuyazungusha na kufanya maonesho ndani na nje ya magari. Maelfu ya mashabiki uhudhuria michezo hiyo na sasa unazidi kutambuliwa #bbcswahili #afrikakusini #vyombovyamoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw