Serikali yahimizwa kukamilisha ujenzi wa bwawa la Koru

  • | Citizen TV
    120 views

    Mbunge wa Kisumu central Joshua Oron ametoa wito kwa rais William Ruto kukamilisha ujenzi wa bwawa la Koru Soin ili kutatua suala la mafuriko ya mara kwa mara kaunti ya Kisumu