Chifu atumia mtandao kukabiliana na uhalifu

  • | Citizen TV
    861 views

    Katika enzi hii ambayo mitandao ya kijamii inabadilisha jinsi jamii inavyowasiliana, chifu mmoja anatumia teknolojia si tu kwa burudani lakini pia kwa kuelimisha