Maambukizi ya malaria yako katika kiwango cha juu Busia

  • | Citizen TV
    148 views

    Juhudi za kukabiliana na viwango vya juu vya maambukizi ya malaria katika kaunti ya Busia zinaendelezwa, huku wakazi wakihimzwa kulala ndani ya neti zilizotibiwa mbali na kufyeka misitu msimu wa mvua unapokaribia