Wanafunzi wa zaidi ya miaka 15 hawaruhusiwi kushiriki

  • | Citizen TV
    232 views

    Baadhi ya wanafunzi, wazazi na walimu walisambaratisha shughuli za michezo kwa muda katika uwanja wa Eliud Kipchoge mjini Kapsabet baada ya baadhi ya wanafunzi kuzuiliwa kushiriki mbio za shule za misingi zinaoendelea kwenye uga huo