Vijana watatu, akiwemo kasisi, wajeruhiwa kwenye vurumai

  • | Citizen TV
    365 views

    Katika kijiji cha Kundos, Endebess, Kaunti ya Trans Nzoia, vijana watatu, akiwemo kasisi, walijeruhiwa kwa mapanga baada ya kushambuliwa na kundi la watu kutokana na mgogoro wa ardhi