Muungano wa madaktari KMPDU waongoza maandamano

  • | Citizen TV
    891 views

    Viongozi wa muungano wa madaktari nchini KMPDU wanawaongoza wanachama wake kwenye maandamano ya kuikashifu serikali kutokana na kudorora kwa sekta ya afya