Umoja wa taifa : Viongozi wahimiza ujumuishaji wa maeneo yote

  • | KBC Video
    7 views

    Mbunge wa Teso Kusini, Mary Emase na mwenzake wa Teso Kaskazini Oku Kaunya wameelezea wasiwasi kuhusu makubaliano kati ya vyama vya UDA na ODM wakisema huenda maeneo mengine yakatengwa.Wabunge hao wanakihimiza chama cha UDA kuhakikisha ngome zake za kisiasa hazisahauliki kwenye uteuzi serikalini. Hata hivyo wabunge hao wameahidi kuunga mkono ushirikiano wa kisiasa baina ya rais William Ruto na Raila Odinga kwa minajili ya umoja wa taifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive