Kesi dhidi ya Hakimu Atambo yasitishwa kwa muda

  • | KBC Video
    11 views

    Hakimu mkuu wa Thika Stella Atambo amepata afueni baada ya mahakama kuu kutoa agizo la muda la kumzuia mkurugenzi wa mashtaka ya umma kuendelea na kesi dhidi yake. Mahakama ilisema kuwa hakuna hatua zinazofaa kuchukuliwa dhidi ya Atambo huku akisubiri kusikizwa kwa ombi alilowasilisha mnamo Juni 30 mwaka huu. Atambo alikamatwa na maafisa wa tume ya EACC alhamisi iliyopita baada ya shilingi milioni 22 kupatikana nyumbani kwake kufuatia upekuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive