Kituo cha Huduma chafunguliwa Kaloleni, Mombasa

  • | KBC Video
    19 views

    Wakaazi wa Kaloleni kaunti ya Kilifi wameelezea kufurahishwa kwao nbaada ya serikali ya kitaifa kuanzisha ujenzi wa kituo cha Huduma eneo hilo kwani itarahisisha kupata huduma za serikali. Akizungumza wakati wa sherehe ya kuweka jiwe la msingi huko kaloleni afisa mkuu wa kituo cha Huduma Ben Kai amethibitisha kuwa ujenzi wa kituo hicho utakamilika mwisho wa mwaka huu. Mradi huo utapunguzia wenyeji taabu ya kusafiri hadi mjini Mombasa kupata stakabadhi muhimu kama vile cheti cha kuzaliwa.aidha ameongeza kuwa wakaazi watapewa kipao mbele katika mradi huo wa ujenzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive