Kukomesha uraibu : Vijana wahamasishwa Kwale

  • | KBC Video
    8 views

    Shirika moja la kijamii linaloendesha shughuli zake katika kaunti ya Kwale limeimarisha juhudi za kuhamasisha vijana kuhusu hatari za utumizi wa mihadarati. Mkuu wa mipango kwenye shirika hilo la Children Empowerment and Development, Hamisi Magisu amesema mkakati huo unanuiwa kuelimisha vijana kuhusu madhara ya dawa za kulevya, uhalifu na vurugu. Aidha, shirika hilo lengo kuu ni kuhimiza maadili na ukuzi wa talanta miongoni mwa vijana wa eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive