Lishe shuleni : Watoto elfu-13 kupokea uji shuleni Isiolo

  • | KBC Video
    21 views

    Watoto elf-13 wa shule za Chekechea katika wadi kumi za kaunti ya Isiolo sasa wataanza kunywa uji uliorutubishwa kila wakati wanapofika shuleni kwa hiani ya serikali ya kaunti hiyo. Akiongea katika uwanja wa polisi wa Isiolo ambako alianzisha msafara wa malori yanayopeleka magunia ya unga wa uji katika hule za Chekechea, katibu wa serikali ya kaunti ya Isiolo, Dade Boru alisema unga huo wa uji umetayarishwa na una virutubishi vingi vya kujenga mwili. Aidha hatua hiyo itasaidia kudumisha watoto hao shuleni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive