Hospitali ya Elang’ata Engima yapokezwa ambulansi

  • | Citizen TV
    296 views

    Kama njia moja ya kupunguza vifo vinavyotokana na changamoto ya kina mama wanaojifungua kufika hospitalini kwa wakati unofaa, Hospitali ya Elang’ata Engima Huko Kajiado kusini imepokea ambulensi ambayo itakuwa inatoa huduma za dharura kwa wagonjwa katika eneo hilo