Wizi wa mifugo umekithiri katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    188 views

    Wataalamu wa mifugo nchini wameelezea kusikitishwa kwao na kukithiri Kwa visa vya wizi wa mifugo, na kutoa wito Kwa idara ya usalama kuhakikisha wanashirikiana nao,katika kulemaza visa vya wizi wa mifugo vinavyozidi kutatiza usalama wa wakazi wa Kaunti ya Samburu