Shule ya Kakoit, kaunti ya Busia, iko katika hali mbaya

  • | Citizen TV
    208 views

    Wazazi na baadhi ya viongozi wa usimamizi wa Shule ya Msingi ya Kamoit, iliyoko katika eneo bunge la Teso Kaskazini, kaunti ya Busia, wanalalamikia miundomsingi duni ya shule hiyo, ikiwemo ukosefu wa vyoo na madarasa ya kutosha