Kundi la wanawake laongoza kampeni Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    812 views

    Kundi la moja la wanawake katika kaunti ya Trans Nzoia limeitaka Serikali kuongeza fedha za kukabili visa vya dhuluma za kinjisia katika jamii, wakisema visa vingi hukosa kuripotiwa na kushughulikiwa kutokana na ukosefu wa ufahamu wa mbinu mwafaka za kukabili dhuluma hizo.