Familia iliyotimuliwa Nyabigena Masocho, Kisii, yasaidiwa

  • | Citizen TV
    1,104 views

    Wiki tatu baada ya Runinga ya Citizen kuangazia masaibu ya familia moja eneo la Nyabigena kule Mosocho kaunti ya Kisii iliyokosa makao ya kulala, familia hiyo sasa ina kila sababu ya kutabasamu baada ya kupata mahali pa kujisitiri