TSC yatakiwa kuajiri walimu wa wanafunzi walemavu

  • | Citizen TV
    104 views

    Mwenyekiti wa kitaifa katika shule za wanafunzi walio na ulemavu mbali mbali (SSHAK) Peter Sitienei ametaka tume yakuajiriwa walimu TSC kubadilisha utaratibu wanaotumia kuwaajiri walimu na kutumia mfumo wa kaunti ili kuwafikia walio na tajriba ya kutoa mafunzo hayo