Jamii ya Awer inaishi Basuba, kwenye msitu wa Boni, Lamu

  • | Citizen TV
    116 views

    Chamgamoto za kiusalama zinazoshuhudiwa maeneo ndani ya Msitu wa Boni kijiji cha Basuba kaunti ya Lamu zimesababisha wakaazi maeneo haya kukosa huduma za kimsingi zikiwemo za matibabu na uchukuzi miongoni mwa maswala mengine