Waziri Mutahi Kagwe ataka ushirikiano wa kufadhili kilimo

  • | Citizen TV
    155 views

    Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe, ametoa wito wa suluhisho shirikishi la kifedha ili kuimarisha sekta ya kilimo barani Afrika