Juhudi za kuimarisha usalama wa taifa

  • | Citizen TV
    80 views

    Katika juhudi za kuimarisha usalama wa kitaifa, Chama cha Wataalamu wa Usimamizi wa Usalama kimesisitiza ushirikiano wa karibu na mashirika ya usalama ya kitaifa