Wenye matatu walalamika magari madogo yanabeba abiria

  • | Citizen TV
    2,667 views

    Muungano wa wenye magari ya uchukuzi wa umma kaunti ya Makueni wametishia kususia kulipa kodi kwa serikali ya kaunti hiyo iwapo magari madogo yataendelea kufanya kazi ya uchukuzi wa umma kinyume cha sheria