Mwanamuziki wa Congo alipatikana ameuawa baharini

  • | Citizen TV
    6,520 views

    Jamaa na marafiki wa mwanamuziki wa Congo anayedaiwa kuuwawa na mwili wake kutupwa kwenye fuo za bahari ya hindi huko diani katika kaunti ya kwale, sasa wanavitaka vitengo vya usalama kuwasaka na kuwatia mbaroni waliyohusika na mauaji hayo