Watu zaidi ya 300 waliuawa kwenye mashambulizi usiku

  • | Citizen TV
    2,432 views

    Zaidi ya watu 300 wameuawa usiku wa kuamkia leo eneo la Gaza baada ya wanajeshi wa Israeli kutekeleza mashambulizi kwa kutumia ndege za kivita zilizorusha bomu maeneo kadhaa, ikiwemo kambi za wakimbizi