'Ulemavu ulisababisha mama yangu kuachika'

  • | BBC Swahili
    1,594 views
    Jina lake ni Niyongabire Eric maarufu Nipo Simple. Alizaliwa bila miguu na mkono mmoja. - Hali hiyo ilisababisha baba yake kumfukuza mama yake. - Aliishi katika maisha magumu utotoni lakini kwa sasa ni mfanyakazi katika shirika linalowasaidia watoto walemavu. - Lakini pia ni muimbaji na muigizaji katika film. - Nipo Simple, 29, ana mke na amejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Anasimulia maisha yake kwa ufupi. - - - #bbcswahili #burundi #ulemavuSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw