Mazungumzo ya amani kati ya DRC na M23 yaingia dosari

  • | BBC Swahili
    858 views
    Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya DRC na kundi la M23 yaliyopaswa kufanyika leo nchini Angola yamepata pigo baada ya M23 kujiondoa. Hii inamaanisha nini? Kwa haya na mengine mengi, ungana na David Nkya katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #diratv #DRC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw