Kongamano Kuhusu Afya: Wito wa ushirikiano watolewa

  • | KBC Video
    15 views

    Wataalam wa afya kutoka maeneo mbalimbali ya bara la Afrika wamesisitiza haja ya kufanywa kwa juhudi za sekta mbali mbali katika kushughulikia matatizo yanayokumba sekta ya afya ili kuafikia malengo ya afya kwa wote.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive