Wauguzi wa hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi jijini Eldoret waanza mgomo wao

  • | Citizen TV
    128 views

    Wauguzi wa hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya moi jijini Eldoret wameanza mgomo wao hii leo. Shughuli muhimu za matibabu zimekwama hosipilini humo. john wanyama anaungana nasi mubashara kutoka eldoret kwa mengi zaidi