Wazee wa jamii ya wamarachi wataka ujenzi wa kituo cha utamaduni cha jamii hiyo ukamilishwe

  • | Citizen TV
    212 views

    Baraza La Wazee Wa Jamii Ya Wamarachi Walioko Kaunti Ya Busia Limeitaka Serikali Kukamilisha Ujenzi Wa Kituo Cha Utamaduni Cha Jamii Hiyo Ambacho Ujenzi Wake Umechukua Muda Mrefu Kuliko Ilivyotarajiwa.