Serikali wahimiza wakulima kutumia dawa bora

  • | Citizen TV
    199 views

    Serikali kupitia bodi ya bidhaa za kudhibiti wadudu wa mimea imetangaza kuwa mikakati iliyowekwa ya kulinda afya ya wanadamu dhidi ya athari za kutumia vyakula vilivyo na dawa hatari imefanikiwa kurejesha ubora wa vyakula vinavyopandwa humu nchini. Kulingana na kaimu mkurugenzi mtendaji wa bodi hiyo Fredrick muchiri hafla za hamasisho kwa wakulima sasa zimezaa matunda.