Mradi wa maji wazinduliwa Borabu

  • | Citizen TV
    60 views

    Ni afueni kwa shule na wakazi wa eneo la Nyansiongo eneo bunge la Borabu katika kaunti ya Nyamira, baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa maji katika eneo hilo.