Polisi wanasa magunia 14 ya bangi Migori

  • | Citizen TV
    339 views

    Maafisa wa usalama wamenasa magunia 14 ya bangi, katoni 23 za vilipuzi vya mawe migodini katika eneo la Taragwiti Isibania, Kaunti ndogo ya Kuria Magharibi katika Kaunti ya Migori.