Wataalamu wa katiba waitaka serikali kurahisisha utoaji habari

  • | Citizen TV
    367 views

    Wataalamu Wa Maswala Ya Katiba Humu Nchini, Wametoa Wito Kwa Asasi Za Serikali Kurahisisha Mchakato Wa Kutoa Habari Kwa Wananchi Ili Kuchangia Utawala Bora. Hali Hiyo Imetajwa Kuchangia Maeneo Ya Wafugaji Kusalia Nyuma Kimaendeleo, Kama Anavyoarifu Mwanahabari Wetu Bonface Barasa Kutoka Samburu.