Uhaba wa walimu waathiri kiwango cha elimu ya msingi Kajiado

  • | Citizen TV
    66 views

    Licha ya Juhudi za serikali ya kaunti ya Kajiado kuendelea kujenga shule za chekechea bado changamoto ya uhaba wa walimu inatatiza masomo katika ngazi hiyo ya elimu.