Margaret Nduta aliyehukumiwa kifo Vietnam kwa kuwa na dawa za kulevya aepuka hukumuya kifo

  • | TV 47
    2,260 views

    Familia ya Margaret Nduta, msichana wa miaka 37 ambaye alikamatwa na mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya nchini Vietnam, imepata matumaini baada ya kuepuka hukumu ya kifo.

    Serikali ya Kenya imekuwa ikifuatilia kurudishwa kwa Nduta.

    Alihukumiwa kifo nchini Vietnam kwa kuwa na dawa za kulevya.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __