Viongozi wanawake kutoka Nairobi wamtetea Kawira Mwangaza

  • | TV 47
    264 views

    Viongozi wanawake kutoka Nairobi wamtetea Kawira Mwangaza.

    Wamemtaka gavana wa Meru kumteua mwanamke kama naibu.

    Wanawake hao wadai wanawake magavana wanakabiliwa na vitisho.

    Kuondolewa kwa Kawira kumewaacha magavana wanawake sita afisini.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __