Kamati ya bunge kuhusu elimu yakutana na viongozi wa vyama vya wafanyikakazi wa TUK

  • | Citizen TV
    340 views

    Kamati Ya Bunge Kuhusu Elimu Inakutana Na Viongozi Wa Vyama Vya Wafanyakazi Uasu, Kusu Na Kudheiha Wanaowakilisha Chuo Kikuu Cha Kiufundi Ili Kujadili Maslahi Ya Wafanyakazi Wa Chuo Hicho.