Wauguzi wa hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi jijini Eldoret waanza mgomo wao

  • | Citizen TV
    348 views

    Wauguzi wa hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya moi jijini Eldoret wameanza mgomo wao hii leo.